STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Mwalimu atoe utangulizi kwa kueleza historia ya kiswahili |
wanafunzi wasikilize na kuandika nukuu |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Kwa kutumia njia ya bungua bongo na majadiliano mwalimu awaongoze wanafunzi kubaini namna Kiswahili kilivyokua katika enzi ya Waingereza kimsamiati. |
wanafunzi kubaini namna Kiswahili kilivyokua katika enzi ya Waingereza kimsamiati. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Ongoza Wanafunzi katika vikundi wajadili na kubaini ukuaji wa Kiswahili kimsamiati katika enzi ya waingereza nchini Tanzania. |
Wanafunzi katika vikundi wajadili na kubaini ukuaji wa Kiswahili kimsamiati katika enzi ya waingereza nchini Tanzania. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Ongoza Wanafunzi katika vikundi wajadili na kubaini ukuaji wa Kiswahili kimsamiati katika enzi ya waingereza nchini Tanzania. |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |